Ungetumia ID hii best, ningekupitia haraka mno...
Ile msg alokutumia bado unayo?? Ile ya kimoderator moderator uloisema jana?? Ndo kusema kina Invisible nao wamevamiwa kwenye anga zao . . . . mmmh!!!!Kuna hili jipya humu jana iligundulika kuwa Marry Hunbig= mzungu mandali aliyekuwa anawapatia watu bana na kwa uchunguzi wangu huyu mtu ana rights za mamods kuban na kufanya chochote kile so its like stevoh aliingua chaka lile ni dume hahahahhahaahh ni taarifa tu mliokuwa party
King'astiiiiiiiiiiiiiiiiId hii sooo kaka, si unajua inaheshimika. Nabembeleza hangover hapa, kitanda kina gundi. Sijui hata nafanyaje! Ningeenda kusali labda ingenisaidia kidogo.
Id hii sooo kaka, si unajua inaheshimika. Nabembeleza hangover hapa, kitanda kina gundi. Sijui hata nafanyaje! Ningeenda kusali labda ingenisaidia kidogo.
unajua nini best...nje ya JF hupenda kuwajua watu kwa uhalisia wao na wala si ID zao. Kwa hiyo siku ukiniambia wewe ndio fulani, wont bother kufikiria vile upo jukwaani bali nitajitahidi kujua the otherside of you!!
Mpya wala jina kama hilo sikulisikia kwenye utambulisho, labda baba yake Mtambuzi aliamua kuliruka...
Wapi unakotaka unipeleke mtoto wa Mwanamke mie!
Alikuwepo kwa nje. Alikaa pale Garden
Hahaha yote hiyo ni ili tusimuone....ila kama alikaa kule atakua ali-enjoy sana Bakulutu maana ilikua imeshika hatamu pale.
madam!!!!!!!!!!! swahili ni poa sana, but I need Thando to teach me more. Tutakupeleka mtoto wa Mwanamke wapi leo. Let me ask figganigga, but I am worried ataniacha kama pale jana