King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Hahaha, ina maana haukuniona? Twenzetu tukachune bili ya Bigirita, nimeagiza kitimoto kg 3 na nimewaambia wakiniona wasiniite kwa jina. Member mzoefu mie pale kwa Charlesi. Hehehe
Last edited by a moderator: