Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

kaka Filipo ulisema kuwa utakuwepo white party na utakuja huku kwangu vipi tena jamani? ,mwenzio nimeshindwa kwenda kwani nangojea kufanya recording hivyo nimeshindwa beibe sasa wifi kaenda?
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei mbona hujaenda kwani ulisema utakuwepo white party? kulikoni?
nenda kale hii😛opcorn::bathbaby: kaoge pale ndo pazuri sana kwako panakufaa ila ambatana na mtu sijui nani atakayekuitaji
 
Last edited by a moderator:
kwani nikija na twenti yangu hapo mtanipokea?
 
hekumbe huko haya ingia ndani uoge basi maana hiyo safari uliyosafiri ni ndefu sana Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei mbona hujaenda kwani ulisema utakuwepo white party? kulikoni?
nenda kale hii😛opcorn::bathbaby: kaoge pale ndo pazuri sana kwako panakufaa ila ambatana na mtu sijui nani atakayekuitaji

Nipo ukumbini. Mda c mrefu natupia pchaz humu. Nimekuja na mke wangu leo.
 
Last edited by a moderator:
i swear if i was in tz.i wouldnt miss this bash...arrrgh.why me lord.
 
Makubwa ndugu yangu yule mke uliyempata kule mwanza au mke gani tena jamani?
 
Back
Top Bottom