Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Ha ha......Kokutona umetaja Penasol.....umenikumbusha juzi kati hapa nilimpasulia mtu fudenge usoni.....dah.....nimekumbuka soo mbaya sana......
Hujambo lakini......? Party umekosa ka mimi.......

Ha ha haa, Preta kumbe nawe umo mtu akiingia kwa anga zako?

Siupatiii picha uso wake ulikuwejee.......baada ya PENASOL kutua usoni.

Sijambo shisti, na paty ndo km hivyo tumeikosaaa..... so sad

Ukampa penasol
 
Last edited by a moderator:
jamani mie nimemuita mama Ngina ani join hapa baada ya kula bata na nimechukua chumba ili kujipumzisha, niko chumba namba 708, vinywaji vikiisha nipigieni simu tafadhali mfuko bado unaruhusu...........
 
Ha ha......mtu akinijia vibaya nampa kinachouma......
Ila itabidi uje Chugga tupate Penasol.........namaanisha ujue......
 
Hebu niambie nani kazizima......
 
Ha ha......mtu akinijia vibaya nampa kinachouma......
Ila itabidi uje Chugga tupate Penasol.........namaanisha ujue......

Umeona eee...mpambe nuksi akikatiza lazima apewe za uso lol

Nitakuja Preta usikonde, Chugga tena......., I will, I promise.
 
Last edited by a moderator:
Preta mpaka sasa kuna chupa moja ya castle Lite na glasi imevunjika baada ya meza kupiga sarakasi wakati watu8 akipiga cheas na Madame B, hizi meza zao bana wala hazina balance kabisa

Mweeeee.......halafu watu8 akishakunywa grants ana fujo sana.......
Japo nipo mbali na nyie kimwili......kiroho tupo pamoja kabisa.....
Cheeeeeersssss.......
 
Last edited by a moderator:
Mweeeee.......halafu watu8 akishakunywa grants ana fujo sana.......
Japo nipo mbali na nyie kimwili......kiroho tupo pamoja kabisa.....
Cheeeeeersssss.......
Tenyaaa (Source Madame B) Preta hivi ulijuaje kama watu8 anakamata Grants......!
Kuna chupa moja ya Kotensa Gin wadau wanaikimbia mbayaaa, inapigwa danadana kama Gongo kwa jinsi inavyotisha, naona hata ODM Asprin anaikwepa hii makitu aisee
 
Hiyo Kontesa usikute recipe zimetoka Mongolia.......ni hatari ujue......

Patia wao hii.....
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    795.6 KB · Views: 48
Hiyo Kontesa usikute recipe zimetoka Mongolia.......ni hatari ujue......

Patia wao hii.....

Wewe unatafuta mada kesi, hiyo kitu naijua ina alc 99% unataka watu wazimike?
 
Back
Top Bottom