Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Kipipi kesho mimi nikiwa kwenye pc ntakurushia live wala sijaifuta shost alafifunlikuwa natumia ID nyingine yeye akatuma huku kwenye nivea alafu akafuta ile Id yangu nlokuwa natumia shost nguvu ziliniishia nkapiga moyo konde tu.kesho ntawapa kitu hicho cc watatukomajee cc is the base of GT at a.k.a usalama wa taifa la JF
Loh . . . .makubwa! Uwezo wa kufuta ID kaupata wapi?? mmmmmh
 
Last edited by a moderator:
Kipipi shost nimemisijee kaka yangu Erickb52 ama kweli hii weekend umemkamata kisawasawa hafurukuti nlimwambia hili kabila lako asioe akajifanyaanayaweza mapenzi sasa kila siku PM anasema Kipipi noma eti anataka akakate naniliu yake kukukomesha hahahahaaaaaa
Hahahaaa usinichekeshe besti. . . . .ni ye mwenyewe tu na issue zake jamani!
 
Last edited by a moderator:
unajua nini best...nje ya JF hupenda kuwajua watu kwa uhalisia wao na wala si ID zao. Kwa hiyo siku ukiniambia wewe ndio fulani, wont bother kufikiria vile upo jukwaani bali nitajitahidi kujua the otherside of you!!

Weeee mbayaaaaaa.Unasoma watu kumbe??!!
 
Binafsi nilienjoy sana sehemu ya utambulisho! Inapendeza sana kumfahamu mtu uliyempenda/furahia kujibizana nae bila kumwona. Ila nilisikitika sana nilipoambiwa gfsonwin hatoweza kufika sababu ya kufiwa.
 
Last edited by a moderator:
Lol, best mie hata chichemi. Hivi ilishakutokea kuwa unakutana na mtu maybe kwenye kazi. Lakini kila ukijatibu kumkumbuka inakujia sura ya mtu mwingine kabisaaaa na unajua ni watu wawili tofauti? Aisee, inakera hiyo!
unajua nini best...nje ya JF hupenda kuwajua watu kwa uhalisia wao na wala si ID zao. Kwa hiyo siku ukiniambia wewe ndio fulani, wont bother kufikiria vile upo jukwaani bali nitajitahidi kujua the otherside of you!!

umeanza sasa na wewe. Hebu acha kuniulizia bwana utaharibu atii
Jana hukumwona King'asti?
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua nilishindwa kuelezea furaha yangu kukuona na kukutana nawe...huggin you ilikua pengine ndio njia pekee iliyokua muafaka kwangu kuonesha furaha hiyo...
who was the other person mpendwa???

Binafsi nilienjoy sana sehemu ya utambulisho! Inapendeza sana kumfahamu mtu uliyempenda/furahia kujibizana nae bila kumwona.
 
Aisee mwaJ nilifurahi kukuona!

Binafsi nilienjoy sana sehemu ya utambulisho! Inapendeza sana kumfahamu mtu uliyempenda/furahia kujibizana nae bila kumwona. Ila nilisikitika sana nilipoambiwa gfsonwin hatoweza kufika sababu ya kufiwa.
 
Last edited by a moderator:
watu8 nahisi jana mlikuwa watatu tuu!

hahaha hapana...napenda marafiki, kwa mantiki hiyo hakuna sababu ya kuendelea ku-dwell kwenye dunia ya ID's...
 
Last edited by a moderator:
Nilifurahi sana kukuona figganigga mzee wa mia! Lakini nahisi jana mlikuwa 200

mkuu wawili nlimkabidhi Bujibuji, mmoja nilimkabidhi Jiwe Linaloishi na mwingine kakadhiwa KakaKiiza kwa wale ulowaacha. wengine uliondoka nao wewe. jana nlikua na kaazi ya kuwaonyesha njia wote waliokuwa tungi. mia(huu ni mning'inio, baadala ya kumquote Mtambuzi kumjibu kuhusu warembo alonikabidhi nimebugii meen. sorry nicas)
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha
Thanda nilifurahi kukuona, yani nilifurahi zaidi ya sana
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nilienjoy sana sehemu ya utambulisho! Inapendeza sana kumfahamu mtu uliyempenda/furahia kujibizana nae bila kumwona. Ila nilisikitika sana nilipoambiwa gfsonwin hatoweza kufika sababu ya kufiwa.

Halafu wee mamdogo ndo nini kumfungia mdingi wangu Mwita Maranya ndani na ukaja peke yako???Ulikuwa unamuogopa nani pale???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom