Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Kuhudumia watu kazi, nilichoka sana jana, ila nimefurahi kuwaona baadhi ya members!
 
Nilikaa meza ulomwagikiwa kinywaji na meza alokuwa amekaa Vin Diesel

Nimekusoma mkuu....ulikuwa cool sana mzee hata story hakuna...nakumbuka ulikipenda kile kinywaji cha pink..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Acha kunidanganya.
Meza ile waliokaa wote nawajua.
Hakuna member aliyejitambulisha kwa ID yako.
Juu ulikuwa umevaaje au chini?
Ukinambia hvo tu ntakujua.

tshirt black,pensi white na chini safari boot
 
Yan pamoja na kujipendekeza kooote ukanifungia vioo sio!!!! Ama kweli asiyekujua hakuthamini!!!!!!

Sasa nikikufungia vioo wewe si maisha yangu yatakuwa magumu sana mjini hapa....nataka kujua sababu ya wewe kunilia bati..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Utanisamahani kaka! Sijambo, hangover tu! Kichwa kinauma na macho hayataki kuangalia. Sijui nipige tena cocktail?
Halafu King'asti of all pipo wewe sio wa kuanza kunizingu...hujambo lakini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Utanisamahani kaka! Sijambo, hangover tu! Kichwa kinauma na macho hayataki kuangalia. Sijui nipige tena cocktail?

Fanya mpango tuchome mbuzi na tuzimue kidogo kwa afya....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom