Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Kaka zile picha zinapatikana vipi?..kama kumbukumbu zangu zipo sahihi wewe ulishika kamera wakati nafungua champaigne!!!

Ninazo huku shem.
Ila uje usiku kuzichukua,nitakusubiri pale Machi machi.
 
Kwenu ama kwetu? Manake Paw hayupo, hakuna mchinjaji.
Hivi nyama choma inaondoa hangover? Naskia kufakufa!
Fanya mpango tuchome mbuzi na tuzimue kidogo kwa afya....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwenu ama kwetu? Manake Paw hayupo, hakuna mchinjaji.
Hivi nyama choma inaondoa hangover? Naskia kufakufa!

Chagua popote tu....nimesema zimua kidogo then tuje tuchome na nyama...mie mwenyewe sijala tangu jana usiku na nikisoma yaliyomkumba Bujibuji ndio nahisi kukata roho kabisaaaa...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwani bujibuji kakuwaje tena? Nasoma na jicho moja hapa sioni mambo zote. Ngoja niombe ruhusa ya kutoka, visa permitt ya mtoko iliekspaya 5am ya leo.

Bujibuji si aliopoa miss mmoja jana....yaliyomkuta ni balaaa....
Mbona masharti mengi sana

Back
Top Bottom