Live From Maktaba Kuu ya Taifa Day 3: Closing ya Kongamano la 4 la Maktaba. Mjadala Kuhusu Mafunzo ya Ukutubi, Majumuisho ya Kongamano na Clossing.

Live From Maktaba Kuu ya Taifa Day 3: Closing ya Kongamano la 4 la Maktaba. Mjadala Kuhusu Mafunzo ya Ukutubi, Majumuisho ya Kongamano na Clossing.

Wajiandae na future without them

Hizi ni sekta zinazokufa kwa kasi sana
It is sad!, maarifa mengi ya ukweli yako kwenye vitabu!, bila kusoma hivyo vitabu huwezi kuyapata!. Vijana wetu wanakuwa vijana goi goi kutokana na kukosa maarifa kwa kutokusoma vitabu. Maktaba kwa kutambua umuhimu wa kwenda na wakati, tumezindua maktaba mdandao, vijana wetu wa mitandao, wasome vitabu vya maktaba mtandao.
P
 
Mkataba zote zipo… it’s just going digital
 
Play Store, Google Search na Wenzao ndiyo kila kitu.Serikali Tukutu ya CCM iwakopee Simu tu Vijana kama wanavyowagawia Bajaji na BodaBoda
 
Sekta itaendelea kuwepo, inaweza kuhitaji watu wachache sana kwa sababu ya mabadiliko na maendeleo ya teknolojia. Kujenga utamaduni wa kusoma na kwa njia hiyo kuwa na wateja wa kutosha/kuridhisha katika maktaba zetu kunaanzia kwenye familia zetu. Wazazi tunasoma vitabu? Lengo la kuwa na maktaba ni pamoja na kuwezesha wasio na uwezo kumudu gharama za kununua vitabu mara kwa mara wapate maarifa kupitia huduma za maktaba ambapo wanakuwa wanachama na hivyo kupata vitabu kwa gharama ya kuwa wanachama. Hitaji hili litaendea kuwepo wakati wote hata hivyo linahitaji kubebwa na kiu ya kupenda kusoma inayoanzia kwenye familia, shuleni, vyuoni, kazini n.k.
 
Back
Top Bottom