Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
It is sad!, maarifa mengi ya ukweli yako kwenye vitabu!, bila kusoma hivyo vitabu huwezi kuyapata!. Vijana wetu wanakuwa vijana goi goi kutokana na kukosa maarifa kwa kutokusoma vitabu. Maktaba kwa kutambua umuhimu wa kwenda na wakati, tumezindua maktaba mdandao, vijana wetu wa mitandao, wasome vitabu vya maktaba mtandao.Wajiandae na future without them
Hizi ni sekta zinazokufa kwa kasi sana
Mkataba zote zipo… it’s just going digitalIt is sad!, maarifa mengi ya ukweli yako kwenye vitabu!, bila kusoma hivyo vitabu huwezi kuyapata!. Vijana wetu wanakuwa vijana goi goi kutokana na kukosa maarifa kwa kutokusoma vitabu. Maktaba kwa kutambua umuhimu wa kwenda na wakati, tumezindua maktaba mdandao, vijana wetu wa mitandao, wasome vitabu vya maktaba mtandao.
P
Maswali mengine sio maswali.Vipi kuna msosi wa bure ?
Nakuona unapiga miayo tuMaswali mengine sio maswali.
P
True, tangu jana mpaka leo bado sijaiona siku!.Nakuona unapiga miayo tu