Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

Huyu ndiye P ninayemjua mimi.
Hivi Dr. Mboni mumewe yupo Pascal Mayalla !!??
Mkuu Reside, @residentura, kwanza asante kutembelea uzi huu,maana wewe ndie the one and only mtu aliyechangia huu uzi,ingekuwa Simba na yanga,au Mondi na Wema,Zali,Zuchu au Hamo na Kajala,ungeona comments, lakini issues serious,...!

Mimi ni pro journalist,hatuingilii issues za personal life za sources wetu!

P
 
Back
Top Bottom