Live from St Mary's stadium,,Uganda vs Tanzania at 1600 EAT

Tanzania haina uwezo wowote wa mpira yaani..Uganda inatosha sasa khee.
 
Hv manula kwenye hili goli la tatu mmemuelewa ndugu zangu yaan kama anacheza rede jinsi alivyoruka na kuacha lango wazi bora tumefungwa wachezaji nao watasingizia maumivu ya tozo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…