Live from St Mary's stadium,,Uganda vs Tanzania at 1600 EAT

Live from St Mary's stadium,,Uganda vs Tanzania at 1600 EAT

Eti kuna mtu anauliza, Kwanini timu ya taifa inaitwa TAUFA STARS?? Mle kuna NYOTA (stars)????
 
Hv manula kwenye hili goli la tatu mmemuelewa ndugu zangu yaan kama anacheza rede jinsi alivyoruka na kuacha lango wazi bora tumefungwa wachezaji nao watasingizia maumivu ya tozo .
Manula naye amechoka jamani!
 
Tulifukuza kocha wakati tatizo ni letu uwezo mdogo.na tutabadilisha sana bila mafanikio.
Sie tutafukiza ata huyu maana hatuna timu. Hatujui kujenga vijana. Wenzetu ugnda wameanza kujenga toka mashuleni.
 
Watanzania hatupo serious kabisa yan tunataka kuenda mbali alafu beki ni job,kibwana,nondo ????? Kweli.aya kiungo mzamiru kweli jamani???? Mkude kaisha.bocco hamna kitu.lyanga anaruka ruka tu bora sopu na feisal hawa wengine ni uozo....

Kwanza sijui vinatumika vigezi gani kuita wachezaji? Au ukiwa yanga tu au simba .ni moja kwa moja stars?? Kuna wachezaji kule timu nyingine sema hawana promo na wanaupiga mwingi tu. Hii timu ifanyiwe marekebisho maana wachezaji wanaitwa kimichongo sana.
 
Hii ya kupick wachezaj Simba na yanga inaua soka la taifa stars...chukua vjana wenye uchu wa mafanikio timu ndogo ndogo waje watusaidie kukombo soka la bongo..
 
Yale magoli aloyofunga Bocco kwanini yalikataliwa!

Niko namwagilia Moyo, niko ya 12!
 
Back
Top Bottom