Live from Stanbic Biashara Incubator,Acacia Building: Policy Forum Breakfast Debate: Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget

Live from Stanbic Biashara Incubator,Acacia Building: Policy Forum Breakfast Debate: Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget.
Kipeperushi.jpg

Hapa tunajadili jinsi Tanzania tunavyoibiwa mi fwedha ya kutosha kupitia kitu kinachoitwa illicit financial flows, IFFS,

Ni bahati mbaya sana, sisi Tanzania, media yetu, hatuna uwezo wa kuyaandika haya ama kuyaripoti, kwasababu hizi issues za fedha haramu ni specialised field ambayo kwa media ya Tanzania, sisi bado sana!.

Karibuni.

Paskali
 
Wapo watakaosema. Ni jinsi

"Watanzania ndivyo mlivyo"

waogopeni sana watu kama hao

naamini bila ya usaidizi wa watu kutoka mataifa ya nje, benki za nje, na fedha za kigeni inawezekana IFF zisingetokea nchini mwetu.

Nonetheless, asante kwa Taarifa naifuatilia kujua na kujifunza mengine mengi.
 
Back
Top Bottom