Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
10931437_1376508532655666_7427639450546637839_n.jpg
Pre Match Meeting Ndio Imeisha sasa Hivi, mabadiliko kdg kikosi cha Simba leo

download.jpg
 
Kuvunjika kwa Koleo sio mwisho wa uhunzi
 
mtakaokuwa na viwezesheo muendelee kutoa updates, mie nitakua Taifa bila simu kubwa......

tafadhali Mkolaji, Bantulady, Makoye akishatoka Sabato na Sembu
 
simba apakatwe kwa mara nyingine tena! na wote tuseme AMINA...
 
Hii timu jamani mungu tu ndio anayejua maana ni majangaaaaa..nimemsikia Aveva leo anaitisha mkutano wa wanachama huku matola naye kajiuzulu yaaani ni full majangaa
 
Hii timu jamani mungu tu ndio anayejua maana ni majangaaaaa..nimemsikia Aveva leo anaitisha mkutano wa wanachama huku matola naye kajiuzulu yaaani ni full majangaa
mie mwanachama mkuu taarifa za mkutanio zinapatikana wapi?
 
mie mwanachama mkuu taarifa za mkutanio zinapatikana wapi?

Wazee wa droo vipi kaburu ameshapanga timu au bado Mkuu. Ningekushauri kabla hujaenda uwanjan wapigie simba UKAWA uwaulize Leo ngapi ngapi
 
mtakaokuwa na viwezesheo muendelee kutoa updates, mie nitakua Taifa bila simu kubwa......

tafadhali Mkolaji, Bantulady, Makoye akishatoka Sabato na Sembu

Usijali tutakuwa wote ifikapo saa 10:00 jioni.
 
Kwa usalama na utulivu wa klabu ushindi leo ni lazima, get 3points or die traying
 
Nadhani tungeweka update za mechi zote

Amavubi tutendee haki kwa kubadilisha title isomeke vpl updates 31_1.2015.

Then ukatupiamo game za Leo.

Pamoja na yote naitakiu ruvu ushindi
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa droo vipi kaburu ameshapanga timu au bado Mkuu. Ningekushauri kabla hujaenda uwanjan wapigie simba UKAWA uwaulize Leo ngapi ngapi
kelele za mlango haziniasi usingizi
 
watatukubali tuutulivu muhimu sana wakati huu wa mapito

Ha ha ha ha jombaa eti wakati wa mapito akati rais wenu kivuli gaidi mstaafu hanspope ana matokeo tayari kuyabadilisha ni just neno moja tu kuwarudisha ukawa
 
Back
Top Bottom