Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
..Samatta majeruhi mkuuLeo Sammatta atatupia angalau goli moja.
Sisi wapenzi wa Tunisia tunalo jambo letu leo.Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake
Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili
kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid
Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
Nyoni ni veteran na kila defence lazima iwe na veteranNyoni anaazaje wakati kwenye timu yake tu abasugua benchi
ZBC2 mkuuAzam chanel gan
Asante mkuu
Yeah, naona tumeanza vzrMechi imeanza
Taifa stars mbona wanaruruka tuHuu ndo upuuzi wa waarabu, nia watutoe mchezon wajipigie tu
Ovyo kabisa hawa waarabu
Kweli, na hivi wao wako 12Leo tutapigwa za kutosha mana muda mwingi mashambulizi yanaelekea kwetu tu.