Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake

Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1
Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili

kikosi cha Tanzania
manula
Kapombe
m husein
Mwamnyeto
mao
Mkude
sureboy
Msuva
bocco
Farid


Ombi:Mwenye link ya online YouTube a shere
Sisi wapenzi wa Tunisia tunalo jambo letu leo.

Karibuni!
 
Huu ndo upuuzi wa waarabu, nia watutoe mchezon wajipigie tu

Ovyo kabisa hawa waarabu
 
Leo tutapigwa za kutosha mana muda mwingi mashambulizi yanaelekea kwetu tu.
 
Back
Top Bottom