Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

Hamna wachambuzi waoga Kama wa bongo, tatzo lao sijui huwa njaa
 
Nilikwambia kule hujui mpira, ukaniuliza kwanini.....
Unadhani mechi ya Leo ilikuwa inamuhitaji fei?
Au kwa kuwa ni Yanga basi lazima acheze.
We ni m'bishi usie na aibu.. hii ni timu ya taifa futa mawazo ya club.. kisha tuendelee..! mkude na nyoni nani kapiga pasi nyingi na kwanini? na amepora mpira mara ngapi?
sure boy amepeleka mipira mingapi mbele?
himid mao ametimiza malengo yake kwa washambuliaji..
hawa wote nature yao ni holding mildfilder. bado mechi ilikua haimuitaji fei?
 
Mtu aliefeli ni sureboy kwa kuwa hakupiga pass yeyote kwa washambuliaji watatu.
Vilevile fei Toto nae ni holding kama wenzake tungepata kiungo kama chama au nionzima tungewaua
Nadhani kocha angefanya hivi
Nafasi ya sureboy acheze Farid halafu pembeni acheze Nado /Dilunga
Au nafasi ya sureboy acheze Shomary kapombe na nafasi ya kapombe izibwe na mtu mwingine

Options ya mwisho ni kumjumuisha kikosini Haruna chanongo ndio anaecheza hilo eneo natural au yule Dilunga wa Ruvu shooting
 
Una matatizo yako binafsi na kocha...
Mechi aliyopewa nafasi Nyoni alifanya makosa tukafungwa.
Nyoni kwa sasa hamuwezi Onyango.
Nyoni hakuwa na Tatizo ila baada ya kuumia kapombe alivyohamishiwa pembeni alionekana kutokuwa na speed
 
"Nafasi ya sure boy acheze kapombe"


Nimeishia kusoma hapo tu
 
"Nafasi ya sure boy acheze kapombe"


Nimeishia kusoma hapo tu
Kapombe anacheza nafasi nyingi

Kipindi kocha wa simba ni le chantre mbona kapombe ndio alikuwa akicheza juu ya mkude na Jkotei?
Mechi ya simba na Al masri zote mbili halafu utaniambia alikosea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…