Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaa,na ndio maana hanspope akionaga hivi anasema manula wa simba anauza mechiLeo Manula kalibeba taifa lisiaibike.
Na hajawai kuwaona Tunisia wakichezaKuna boya flani alisema tutapewa furushi la magoli
Timu ilifia kwa alicheza attacking mildfider (Sure boy)Ushambuliaji sefuri
Hakika, ukiacha Manula Nyoni alikua bora zaidiLeo Nyoni kaonyesha kocha wa simba anabahatisha
Amegusa mpira mara moja ndani ya dk 25.[emoji23][emoji23]Coach ..feisal in akapige shoots za mbali
Mkude amecheza vizuri sana kwetu simba ni man ofu the mechi..!Timu ilifia kwa alicheza attacking mildfider (Sure boy)
Kweli maana mechi ilikua na dakika 105 maana ameingia dk 84Amegusa mpira mara moja ndani ya dk 25.[emoji23][emoji23]
Nilikwambia kule hujui mpira, ukaniuliza kwanini.....FEI TOTO WAKUINGIA 83 ACHA NIJIFUNZE KUNYAMAZA
Una matatizo yako binafsi na kocha...Leo Nyoni kaonyesha kocha wa simba anabahatisha
We ni m'bishi usie na aibu.. hii ni timu ya taifa futa mawazo ya club.. kisha tuendelee..! mkude na nyoni nani kapiga pasi nyingi na kwanini? na amepora mpira mara ngapi?Nilikwambia kule hujui mpira, ukaniuliza kwanini.....
Unadhani mechi ya Leo ilikuwa inamuhitaji fei?
Au kwa kuwa ni Yanga basi lazima acheze.
inashagazaLeo Nyoni kaonyesha kocha wa simba anabahatisha
Mtu aliefeli ni sureboy kwa kuwa hakupiga pass yeyote kwa washambuliaji watatu.We ni m'bishi usie na aibu.. hii ni timu ya taifa futa mawazo ya club.. kisha tuendelee..! mkude na nyoni nani kapiga pasi nyingi na kwanini? na amepora mpira mara ngapi?
sure boy amepeleka mipira mingapi mbele?
himid mao ametimiza malengo yake kwa washambuliaji..
hawa wote nature yao ni holding mildfilder. bado mechi ilikua haimuitaji fei?
Nyoni hakuwa na Tatizo ila baada ya kuumia kapombe alivyohamishiwa pembeni alionekana kutokuwa na speedUna matatizo yako binafsi na kocha...
Mechi aliyopewa nafasi Nyoni alifanya makosa tukafungwa.
Nyoni kwa sasa hamuwezi Onyango.
"Nafasi ya sure boy acheze kapombe"Mtu aliefeli ni sureboy kwa kuwa hakupiga pass yeyote kwa washambuliaji watatu.
Vilevile fei Toto nae ni holding kama wenzake tungepata kiungo kama chama au nionzima tungewaua
Nadhani kocha angefanya hivi
Nafasi ya sureboy acheze Farid halafu pembeni acheze Nado /Dilunga
Au nafasi ya sureboy acheze Shomary kapombe na nafasi ya kapombe izibwe na mtu mwingine
Options ya mwisho ni kumjumuisha kikosini Haruna chanongo ndio anaecheza hilo eneo natural au yule Dilunga wa Ruvu shooting
Kapombe anacheza nafasi nyingi"Nafasi ya sure boy acheze kapombe"
Nimeishia kusoma hapo tu