Baadaye leo tutashirikiana na BongoRadio kurusha matangazo ya ITV online!!!! sijui saa ngapi.. naenda kulala maana kuna kukesha kesho au maandalizi ya safari!!!

Wow! Uko wapi nije nikubusu Maria Roza? Hongera sana!
Miye katika kituo changu nilichopigia kura bibi mmoja mwenye umri kati ya 65 na 70 baada ya kupiga kura. Alisema hadharani kwa walio mstarini kwamba kabadilisha kura yake uchaguzi huu na kumpa Slaa na kuwaomba walio mstarini wasiharibu kura zao. Alisema, "Nawaomba sana mumpigie Slaa na watu wake." kisha akaweka alama ya peace mikono yote miwili basi watu wakaangua kicheko kikubwa. πeace:πeace:πeace:
Mpaka naondoka kituoni hali ilikuwa kama hivi:
Kaa mbele yake uweze kuposti!...ukikaa nyuma utaonaje?Asante nipo nyuma ya laptop tuu leo:smile:
Haaa haaa, sikuinote hiyo. Nadhani ni ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa. Sijajua kama bendera ya CCM ni sawa kuwa hapo.