Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
unabii na maigizo ya kutosha jinsi vyuma vilikaza mwaka 2017 watu wakipaka magrisi hukoNgoja leo nikae siti za mbele kabisa [emoji41], kuna maigizo ama ni unabii tu!?
fungu la kumi nakusanya mwenyewe nabii mkuuMkusanya sadaka na michango yote ya vinywaji(maji kulainisha makoo) Mr. HakunaMatata
hebu njoo hapa madhabahuni nikupe unabii kidogo
Ibada njema na muwe na mwaka mpya wa mafanikio na ushindi ila waambie buji buji na mshana Jr kuwa ndugu yao yohana ametubu
prophesy mamaaaaaahebu njoo hapa madhabahuni nikupe unabii kidogo
sio ubatizo huu mkuu ni chakula cha bwana hapoHaa haaa wapi huko, kabatizwa mara ya pili pia?
sio ubatizo huu mkuu ni chakula cha bwana hapo
zaka hapafungu la kumi nakusanya mwenyewe nabii mkuu