Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mkusanyaji wa sadaka na mweka hazina ni mimi Otorong'ong'onaona ukumbi una manabii wa kutosha watajitambulisha wenyewe na upako wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkusanyaji wa sadaka na mweka hazina ni mimi Otorong'ong'onaona ukumbi una manabii wa kutosha watajitambulisha wenyewe na upako wao
mbona kila mtu anakimbilia sadaka jamaniMkusanyaji wa sadaka na mweka hazina ni mimi Otorong'ong'o
Mkuu umetokea wapi..?? Ni mimi ujue...Uchaguzi ulishafanyika nikachaguliwa mimiMkusanya sadaka na michango yote ya vinywaji(maji kulainisha makoo) Mr. HakunaMatata
Mshatubuhebu njoo hapa madhabahuni nikupe unabii kidogo
nabii mkuu chaguambona kila mtu anakimbilia sadaka jamani
Mimi ndo mwenyekiti kamati ya fedhambona kila mtu anakimbilia sadaka jamani
nakuaminiaMkusanyaji wa sadaka na mweka hazina ni mimi Otorong'ong'o
ahahaaaa jomoni khaaa sijui umewaza niniMkuu umetokea wapi..?? Ni mimi ujue...Uchaguzi ulishafanyika nikachaguliwa mimi
Wewe tutakupa kazi ya kufua majoho ya Wanakwaya
Nitabirie mimi kulingana na hiki cheo changu cha uweka hazina na ukusanyaji sadakaniulize maisha yako nikutabilie 2018
Nipo vizuri kwenye hii sekta ujue.....nakuaminia
[emoji23][emoji28][emoji23]Ibada njema na muwe na mwaka mpya wa mafanikio na ushindi ila waambie buji buji na mshana Jr kuwa ndugu yao yohana ametubu
![]()
Mkuu umeshaandaa sadaka yako ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza mwaka..??Nshajongea benchi la mbele kabisa
Agiza pepsi baridii bili juu yanguNabii naomba atamke neno huo mwaka 2018,shoga yangu Dinazarde apate bwana amuwowe aache kunywa grants
Ninayo tayari kabisa, tena hata mchango wa pili nimejiandaa kabisaMkuu umeshaandaa sadaka yako ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza mwaka..??
Ni muhimu kupanda mbegu
within march utakuwa na mjengo wa hatar plus usafir wa ndoto zakoNitabirie mimi kulingana na hiki cheo changu cha uweka hazina na ukusanyaji sadaka
subir bahasha ya3Ninayo tayari kabisa, tena hata mchango wa pili nimejiandaa kabisa
asubuhi mkuuibada itaisha saa ngapi Miss?