Elections 2010 Live interview radio one & bbc swahili !

Elections 2010 Live interview radio one & bbc swahili !

Kudadadeki

Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
70
Reaction score
3
Kuna a kind of Mdahalo unaendelea sasa hivi live from radio 1 na BBC Swahili. Umelenga wasanii na uchaguzi. Yupo Sugu (Mbunge Mbeya mjini), Kala Pina (Diwani- Kinondoni), Pr. Haroun, Dokii n.k

Dokii, amewaponda Watanzania kuwa yeye ni CCM Damu, hata msiponunua kazi zake, anasema poa tu- ki- mpango wenu !!!!!!
 
Who is Dokii?
 
ndo nani huyo dokiii jama?au umekosea ulimaanisha dodoki?
 
Hao jamaa wamesahau kuwa Makamba alishawapiga marufuku kufanya midahalo!!
 
Hao ndoo wamepewa vipesa vy CCM na wateja wao ili wawapigie compaign. Bahati mbaya wagombea hawauziki
 
Kwani dokii anaimba au mi jina si geni ilasijui anafanya nini kwenye usanii!
 
Dokii? Huyu bila shaka atakuwa mcheza kiduku. Wakifanya kashow kamoja wanadhani wanafahamika nchi nzima.
 
Kuna a kind of Mdahalo unaendelea sasa hivi live from radio 1 na BBC Swahili. Umelenga wasanii na uchaguzi. Yupo Sugu (Mbunge Mbeya mjini), Kala Pina (Diwani- Kinondoni), Pr. Haroun, Dokii n.k

Dokii, amewaponda Watanzania kuwa yeye ni CCM Damu, hata msiponunua kazi zake, anasema poa tu- ki- mpango wenu !!!!!!

Sishangai kwa sababu huyu Dokii ni chakula ya baadhi ya wabunge soo anajilindia heshima ya biashara yake....kazi yake inatuhusu nini hebu akafie mbali huko asituchanganye kila mtu ameshajipanga next sunday kutumia haki yake....
 
Nilikua na wasiwasi dhidi ya wasanii wanaopanda majukwaani kupiga debe, hasa baada ya uchaguzi soko lao litakuaje? maona Dokii hili ameanza kuliona ingawa jinsi anavyolisemea sidhani kama watu wengi wanamfahamu kwa sasa kama muimbaji zaidi ya kumkumbuka kama muigizaji wa sauti za watu enzi zile za tv moja kila baada ya nyumba kumi....kama ametumia jukwaa hilo kujitangaza kibiashara aaandike ameumia..........
 
What is Dokii? What product does she sell? BBC wamekosa mtu wa ukweli kualika kwenye mdahalo? Kuna mkono wa Tido Mhando hapo.
 
Back
Top Bottom