Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

60% sijengi kwetu! Nafanyia mambo mengine madogo madogo nyingine naingiza kwenye vibiashara! Nna housegirl ndio mwanangu haathiriki kabisa na utafutaji wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Visa vya mahause girls kunyanyasa watoto
Kutembea na waume zenu wewe unalichukuliaje na vipi unahakikisha upinduliwi?

DJ sepetu
 
Visa vya mahause girls kunyanyasa watoto
Kutembea na waume zenu wewe unalichukuliaje na vipi unahakikisha upinduliwi?

DJ sepetu
Hilo suala kwakweli nikilifikiria la kuteswa watoto linaumiza lakini mimi nachofanya nampenda huyu binti kama mwanangu kabisa kwahiyo nayeye ule upendo anautoa kwa mtoto! Suala la kupinduliwa sidhani maana namwamini baba mwenye nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo suala kwakweli nikilifikiria la kuteswa watoto linaumiza lakini mimi nachofanya nampenda huyu binti kama mwanangu kabisa kwahiyo nayeye ule upendo anautoa kwa mtoto! Suala la kupinduliwa sidhani maana namwamini baba mwenye nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Usituamini sana sisi tena usituchunguze chunguze!
Jokes!
Una id ngapi jf
Ulijiunga lini
Kwann unaipenda jf na nn kinakukera

DJ sepetu
 
Usituamini sana sisi tena usituchunguze chunguze!
Jokes!
Una id ngapi jf
Ulijiunga lini
Kwann unaipenda jf na nn kinakukera

DJ sepetu
Hahaha! Mume hachungwi vivyohivyo mke!
Nna id moja tu ndio hii
Nlijiunga 2013
Napenda jf sana ni mtandao uliotulia mimi sipendi sana fujofujo kwahiyo hapa napakubali sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha! Mume hachungwi vivyohivyo mke!
Nna id moja tu ndio hii
Nlijiunga 2013
Napenda jf sana ni mtandao uliotulia mimi sipendi sana fujofujo kwahiyo hapa napakubali sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi karibuni kumekuwa na dhahama ya members ambao ni me Ku fake ke!
Wewe unafikiri kwann wanafanya hivyo
Wape neno moja la hekima!

DJ sepetu
 
Hivi karibuni kumekuwa na dhahama ya members ambao ni me Ku fake ke!
Wewe unafikiri kwann wanafanya hivyo
Wape neno moja la hekima!

DJ sepetu
Hili suala linanipa kigugumizi mimi nadhani kuna kitu wanacho kitafuta!
Lakini ni kukosa busara na kujikubali mimi napenda kuwaasa wajikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom