Visa vya mahause girls kunyanyasa watoto60% sijengi kwetu! Nafanyia mambo mengine madogo madogo nyingine naingiza kwenye vibiashara! Nna housegirl ndio mwanangu haathiriki kabisa na utafutaji wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo suala kwakweli nikilifikiria la kuteswa watoto linaumiza lakini mimi nachofanya nampenda huyu binti kama mwanangu kabisa kwahiyo nayeye ule upendo anautoa kwa mtoto! Suala la kupinduliwa sidhani maana namwamini baba mwenye nyumbaVisa vya mahause girls kunyanyasa watoto
Kutembea na waume zenu wewe unalichukuliaje na vipi unahakikisha upinduliwi?
DJ sepetu
Usituamini sana sisi tena usituchunguze chunguze!Hilo suala kwakweli nikilifikiria la kuteswa watoto linaumiza lakini mimi nachofanya nampenda huyu binti kama mwanangu kabisa kwahiyo nayeye ule upendo anautoa kwa mtoto! Suala la kupinduliwa sidhani maana namwamini baba mwenye nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! Mume hachungwi vivyohivyo mke!Usituamini sana sisi tena usituchunguze chunguze!
Jokes!
Una id ngapi jf
Ulijiunga lini
Kwann unaipenda jf na nn kinakukera
DJ sepetu
Shukran nakufatilia mpenz
Hivi karibuni kumekuwa na dhahama ya members ambao ni me Ku fake ke!Hahaha! Mume hachungwi vivyohivyo mke!
Nna id moja tu ndio hii
Nlijiunga 2013
Napenda jf sana ni mtandao uliotulia mimi sipendi sana fujofujo kwahiyo hapa napakubali sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika mpenz
Mlikua wapiiii nyie jamanMiss you
Hili suala linanipa kigugumizi mimi nadhani kuna kitu wanacho kitafuta!Hivi karibuni kumekuwa na dhahama ya members ambao ni me Ku fake ke!
Wewe unafikiri kwann wanafanya hivyo
Wape neno moja la hekima!
DJ sepetu
ukimaliza unitagThird ilani:viewers
Comments will
Be taken later
DJ sepetu
HayaNimefika dear ngoj tusonge nayo
Na wewe unakikumbatia mnoo my wiiNimefika wii japo nimechelewa
Me to sweetheart [emoji7][emoji8]Miss you
Mwandishi wa habari wa kujitegemeaukimaliza unitag
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ndio naamka cuzoo[emoji17] [emoji17]Mlikua wapiiii nyie jaman
HahahaHalafu hata sijajua nani nipo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan acha mambo ya weekend mpenzMlikua wapiiii nyie jaman
AfadhaliNimefika mpenz
Tatizo upyaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe unakikumbatia mnoo my wii