stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Kwa nionavyo mimi ni yule mtu mwenye kutekeleza malengo yake na mikakati yote aliyojiwekea! Pili ni kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesaApone haraka
Umesema unapenda ujasiriamali
Zipi siri za mjasiriamali Mwenye mafanikio?
DJ sepetu
Mpambe wee[emoji3]Sitamwambia kwa kweeeli, we sema tu kitaishia hapa hapa mwaya
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]venossah una nguvu lkn ngoj wajeHe heh....
Asante...bora interview ya leo kuna mtu anayejielewa na siyo wale ma popoma wa Dj sepetu
Nakushukuru sana stable woman kwa ajili ya muda niishie hapa ili uanze kujibu maswali ya wachangiajiKwa nionavyo mimi ni yule mtu mwenye kutekeleza malengo yake na mikakati yote aliyojiwekea! Pili ni kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa, jicho kwa jichoo..... Lakini hewa ikichange ni jicho kwa mguuShoga wew shunieeeeeeeeee sina wasi sakayo upo na linamoooooooo mje jamani kukiharibika huku[emoji1][emoji1]
Hahaha
Asante sana! Stay blessed![emoji109]Nakushukuru sana stable woman kwa ajili ya muda niishie hapa ili uanze kujibu maswali ya wachangiaji
DJ sepetu
Mmmmh
Yaan acha mambo ya weekend mpenz
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji848][emoji848][emoji848]Ndio naamka cuzoo[emoji17] [emoji17]
[emoji134] [emoji134] me mbona kapole leo jamanShunie wa kwanza[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Hivi hampewagi vinywaji [emoji23][emoji23][emoji23]Interview haina hata maji nna kiu hatari! Miguu yote imelowa jasho[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Shunie leo mpole
Weweee sikuaminiii hataHahaha[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona kuna mtu kakatiza vibaya mida hii nikaona nijikoki kabisa mpenz shunie emmyta sakayo [emoji41][emoji41][emoji41]ole wake nasema[emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia mamy, Pambana na interview yako
Hahaha labda muosha rungu kaenda kuleta!Hivi hampewagi vinywaji [emoji23][emoji23][emoji23]
TehHahaaaaaaa we sikuamini hata kidogo
Waje siwaogopi hata mmoja, maneno ya nyuma ya keyboard hayanitishi.....jiwe gizani atakayepanik ni popoma namba moja[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]venossah una nguvu lkn ngoj waje