stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Kwa nionavyo mimi ni yule mtu mwenye kutekeleza malengo yake na mikakati yote aliyojiwekea! Pili ni kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesaApone haraka
Umesema unapenda ujasiriamali
Zipi siri za mjasiriamali Mwenye mafanikio?
DJ sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app