Ndo lugha ganiiiNimebadilika jam no niaminini tu[emoji24][emoji24]
Nimeshakajua kale kadogo kanazingua sanaNa wewe
Ulikuwa wabishana na nani jana kwenye interview????? Yeye ndie
Nimemuona mtu mzima sio Ben ten [emoji1][emoji1][emoji1]Haya Cuzoo njoo muone mzee wa busara
Kweli kabisaaaDah jambo la kusalitiwa bwana majibu nitayapata hapohapo maana nilishuhudia rafiki yangu alipururuka na kuisha![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani haeleweki yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angeshakuja kuharibu yule hapana aisee
Linamo umepewa ukaazi wa kisarawe au msanga, chole au manerumango uzaramoni?Huwa unawaza nini upande wa mahusiano.
I mean ikitokea ndo wako. Utakuwa una mcare vipi.
Achana na kiswanglish changu nijibu tu[emoji23] [emoji23]
Mie simoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugomvi wa ngumi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo burudani veeepe.... Angalia matege yatakuhusu
Ben ten mwachie wolper[emoji23] [emoji23]Nimemuona mtu mzima sio Ben ten [emoji1][emoji1][emoji1]
Na nahisi I'd zake zote zipo banYani haeleweki yule
MmmmhSi alivyosifiwa tu dada jamaan
Afya yake ya akili haiko njema ndyo maana anafanya ivyoJamani kumtafuta mwanaume kwa nguvu humu Jf? Anawatongozea pm?[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sex wala chakula! Akiwaza tu mali yake kuliwa na mtu mwingine! Unajua suala la ngono bwana hutaki kusikia mwenzako anahudumia wengine!Sex au chakula
Umoooo sana dada ujue hivi unajitoaje kwa mfano lakiniMie simoo
HahahaMsiniache please [emoji24][emoji24][emoji24]
Itakuwa manerumango[emoji23] [emoji23]Linamo umepewa ukaazi wa kisarawe au msanga, chole au manerumango uzaramoni?
Hallelujah [emoji119]Okay mimi naamini mahusiano hayana formula! Kikubwa kama angekuwa mtu wangu ningemtii, kumpenda na kumuheshimu! Mengine kwangu ziada!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mwanangu jina lako likikuwa linanipa taabu kusoma zaman nilikuwa naona kama LIMAO kumbe sioBen ten mwachie wolper[emoji23] [emoji23]
Haya madameSio sex wala chakula! Akiwaza tu mali yake kuliwa na mtu mwingine! Unajua suala la ngono bwana hutaki kusikia mwenzako anahudumia wengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaAiseee pambana airudishe nauli yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si kwa lile lijisura[emoji28] [emoji28]
Zito kama uji[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ila kama aliitumia nauli ile sura kuna nati haiko sawa kwenye ubongo wake