Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sasa yule ndo mwanaume sio hivi vi ben ten...... Stable woman nimependa hapo ulipochaguaNimemuona mtu mzima sio Ben ten [emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yule ndo mwanaume sio hivi vi ben ten...... Stable woman nimependa hapo ulipochaguaNimemuona mtu mzima sio Ben ten [emoji1][emoji1][emoji1]
Mfumo wa elimu zetu hapa nchini unatuandaa akili zetu zaidi kuwa waajiriwa! Hiyo nadhani ndio sababu inayopelekea hayoUnadhani nini kinachangia wahitimu wengi wa elimu ya juu kuwa tegemezi hata baada ya kumaliza elimu zao
Uwiiii eti Chato[emoji23] [emoji23]Hahaha
Yule ni mdogo wake kabisaa, wako chato hukooo.... Sio kwa natural ilee
HahahaBen ten mwachie wolper[emoji23] [emoji23]
Jamani@Sakayo nakubali michango yake!Kweli umemdondokea, sio kwa kumsaka hukooo
Ni kweli na wao pia hawapendi kujituma.Mfumo wa elimu zetu hapa nchini unatuandaa akili zetu zaidi kuwa waajiriwa! Hiyo nadhani ndio sababu inayopelekea hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Sawa tuuUmoooo sana dada ujue hivi unajitoaje kwa mfano lakini
Wambie wasikushangae sanaHahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nicheke kwa sauti hadi watu wamenishangaa
Kanazingua mno hakoNi changamotoo
Wewe ni mama wa aina gani kwa mtoto wako?Mfumo wa elimu zetu hapa nchini unatuandaa akili zetu zaidi kuwa waajiriwa! Hiyo nadhani ndio sababu inayopelekea hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nijipumzishe hapa my wiiUwiiiii shunie naomba mpumnzishe kwa muda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhaaa halafu nyie viben ten hivyo viko wapi??Sasa yule ndo mwanaume sio hivi vi ben ten...... Stable woman nimependa hapo ulipochagua
Wengi tu halafu nina allergy nao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Nasikia hata humu wapooo
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ataenda studio Mara paaaaaap k
EwaaaKwa afya
Ongea taratibu baasiii... Dogo anachamba yuleeeUwiiii eti Chato[emoji23] [emoji23]
Usijali mamy, ni utani tuu ujue
Sasa sisi ndo tuna maji au[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongea taratibu baasiii... Dogo anachamba yuleee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukajikuta wanja unaisha upesi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humu humu jf ujue.... Kitu kidogoo utaanzishiwa nyuzi kumi