Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaKwani ulikimbia wapi dada uliposema [emoji30][emoji30]
Haya bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKwani ulikimbia wapi dada uliposema [emoji30][emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woooiii
Muosha rungu achana intaviu unaniharibia dada zangu. Isitoshe unatuletea madume humu wajifanyao majike...mnashirikiana eeeHiyo burudani veeepe.... Angalia matege yatakuhusu
Ni ndugu kweli mamy mtu na mdogo akeeHahaaaa jamani nyie mnafahamiana nini? Mtakuwa ndugu nyie [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nimekuelewa sasa ujue nikajua ile mitaa ya kati usiniambie toka siku ile kimojaaaHahaha
Haya bwana
HahahaMuosha rungu achana intaviu unaniharibia dada zangu. Isitoshe unatuletea madume humu wajifanyao majike...mnashirikiana eee
muosha rungu [emoji41]
Kwa nini tena mamy, huyoo dogo ni mdogo wangu wa hiari.... Nilimkuta humu humu nikaona amenizoea bora awe mdogo wangu tuuHahaaaa jamani nyie mnafahamiana nini? Mtakuwa ndugu nyie [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] Umekuwa na vichambo hadi nakuogopaItakuwa manerumango[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila mwanangu jina lako likikuwa linanipa taabu kusoma zaman nilikuwa naona kama LIMAO kumbe sio
Kabisaa mdogo wangu, mie nikaona isiwe taabu.....Dada nimekuelewa sasa ujue nikajua ile mitaa ya kati usiniambie toka siku ile kimojaaa
Baba Otieno una maneno sana[emoji13]Ila mwanangu jina lako likikuwa linanipa taabu kusoma zaman nilikuwa naona kama LIMAO kumbe sio
Haaha lengo la kuleta madume hasa ninini?? Mkuu nisaidie namna jina lako linavyosomwa mimi huwa nasoma mwishoni GleyMuosha rungu achana intaviu unaniharibia dada zangu. Isitoshe unatuletea madume humu wajifanyao majike...mnashirikiana eee
muosha rungu [emoji41]
Tunaandaliwa kuwa watumwa...Mfumo wa elimu zetu hapa nchini unatuandaa akili zetu zaidi kuwa waajiriwa! Hiyo nadhani ndio sababu inayopelekea hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekomaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Pole mwaya
Hahaha... SawaaaaNimekomaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tamka Kigli...Haaha lengo la kuleta madume hasa ninini?? Mkuu nisaidie namna jina lako linavyosomwa mimi huwa nasoma mwishoni Gley
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana alinifata ujue dada nikapotezeaKabisaa mdogo wangu, mie nikaona isiwe taabu.....
Imekuwaje tenaUna bahati washa mweka kwenye banda ungenyooka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay nimekupata! Omary amekudanganya humu?Tamka Kigli...
Naomba usije kuwa Omari.
Mambo ya smartphone hayoNdo lugha ganiii