ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Nilienda kuhudumia nimerud sasUkhuty yupo[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilienda kuhudumia nimerud sasUkhuty yupo[emoji23] [emoji23]
Nipo nani kaharibu ten [emoji15] [emoji15] nimfunze adabuKashasepa kama kawaida yake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mambo ya smartphone hayo
Kuhudumia muhimu sanaNilienda kuhudumia nimerud sas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linamo na sakayo mkujeNipo nani kaharibu ten [emoji15] [emoji15] nimfunze adabu
We mwambie kivuli na mie wapi na wapi!!!! Kama haniamini inatoshaNdio mana alinifata ujue dada nikapotezea
Husna=otieno
We kweeeli haupo nchi hii
HahahaMambo ya smartphone hayo
Unakumbatia mnooNipo nani kaharibu ten [emoji15] [emoji15] nimfunze adabu
Abee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linamo na sakayo mkuje
Dada kweli yamekufika hapa woiiiii umevurugwa yaan kama nakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo vipi unamjibu au unapotezeaWe mwambie kivuli na mie wapi na wapi!!!! Kama haniamini inatosha
Msikilize ukhuty kaja kwa ajili ya pambano eti nani kaharibuuuAbee
Nijuzeni jamaniWe kweeeli haupo nchi hii
Husna=otieno
Isije kuwa
Stable woman=omari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namjibu kifupi tuu... Sitaki aone ka vile namganda!!!! Nimempa nafasi afiche hayo anayoficha woooi.... Can you imagine hata ile tarehe hajatoaDada kweli yamekufika hapa woiiiii umevurugwa yaan kama nakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo vipi unamjibu au unapotezea
HahahaMsikilize ukhuty kaja kwa ajili ya pambano eti nani kaharibuuu
Hivi nikijibadilisha jinsia humu napata faida gani? Hebu nisaidie mpnz kunifumbuaWe kweeeli haupo nchi hii
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji134] [emoji134] [emoji134] mpaka leo anachoficha nini jamaan basi hata usimfanyie usije ukafanya ikawa aibu yetu dada asitokee kabisa ujue nawaza tu mimi akapita kimya kimyaNamjibu kifupi tuu... Sitaki aone ka vile namganda!!!! Nimempa nafasi afiche hayo anayoficha woooi.... Can you imagine hata ile tarehe hajatoa
Sio wewe mamy wapo wanaofanya hivi wanatumia I'd za kike ni wanaume wanatumia I'd mbili tofaut za jinsia tofauti yaan mambo hayaeleweki kabisa humu jfHivi nikijibadilisha jinsia humu napata faida gani? Hebu nisaidie mpnz kunifumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mamy... Nafikiri Unajua kuna mrembo anajiita Husna the boss lady... Wanaume weengi walimdondokea kweeeli, wengine wakagongana pm hukooo, kumbe ni dume bwana.... Linaitwa Otieno kwa id ingine, fundi wa vitanda!!!!!! Upoo