Live interview with Mrembo on muosha rungu show

We mwambie kivuli na mie wapi na wapi!!!! Kama haniamini inatosha
Dada kweli yamekufika hapa woiiiii umevurugwa yaan kama nakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo vipi unamjibu au unapotezea
 
Namjibu kifupi tuu... Sitaki aone ka vile namganda!!!! Nimempa nafasi afiche hayo anayoficha woooi.... Can you imagine hata ile tarehe hajatoa
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji134] [emoji134] [emoji134] mpaka leo anachoficha nini jamaan basi hata usimfanyie usije ukafanya ikawa aibu yetu dada asitokee kabisa ujue nawaza tu mimi akapita kimya kimya
 
Back
Top Bottom