Mwenyewe nilikua simjui
Cc ShunieJapo Mh. raisi hajasema wale jamaa wanawashwa wapi, najisikia ''nawashwawashwa'' moyoni utadhani na mimi ''nimeshastaafu''. Navumilia tu japo huu sio muwasho wa nchi hii
Asante sana stable woman, Nakufurahia sana kunifurahia.
Warmly appreciated.🙂
Over all the years JF niliamua kuwa invisible, siujui member hata mmoja personally ila huu muwasho unaweza nipelekea nikajifunua aisee. Ila moyo piga kazi yako ya msingi buana.
Hahahaaa, kazi njema mpendwa wangu.
HahahaNaomba nikuhoji mimi.
I promise wii maswali ya maana tu. Hakuna la hogo wala kibamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waandishi wa habari hawachelewi my dear!!!! Cheka hebu siku yako iende poaHahaaaa! Karibu sana Tized umejikuta umetajwa humu bila taarifa!
Au kuna wasiojulikana wamekukurupua huko Pm[emoji3] uje huku!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nimemuona jaman kumbe ndio huyo mzee wa busara sana mwenyewe kafurahiiCc Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hapana aisee, mie nitawadanganya ujue!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waandishi wa habari hawachelewi my dear!!!! Cheka hebu siku yako iende poa
OoohDada nimemuona jaman kumbe ndio huyo mzee wa busara sana mwenyewe kafurahii
Waandishi wa habari wa kujitegemeaWaandishi wa habari hawachelewi my dear!!!! Cheka hebu siku yako iende poa
Dada nimemuona jaman kumbe ndio huyo mzee wa busara sana mwenyewe kafurahii
Nimekuja kumuona mzee wa busara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mzee wa busara huyo aliyeimbwa amemaanisha yaan mtu flani hivi wa makamo na heshima zakoNaamini sio huyu🙂
Jamaan mbona stable woman atakufwa atajua Ben 10Mi kijana hata miaka 19 bado ujue
Hahaaaa! Karibu sana Tized umejikuta umetajwa humu bila taarifa!
Au kuna wasiojulikana wamekukurupua huko Pm[emoji3] uje huku!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahhahah
Jamaan mbona stable woman atakufwa atajua Ben 10
Uchunguzi wa nini tenaUnacheka na nani? niko siriazi ujue!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anajua tuko vizuri sana kuliko wazee wa ''kuwashwawashwa''