Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Japo Mh. raisi hajasema wale jamaa wanawashwa wapi, najisikia ''nawashwawashwa'' moyoni utadhani na mimi ''nimeshastaafu''. Navumilia tu japo huu sio muwasho wa nchi hii

Asante sana stable woman, Nakufurahia sana kunifurahia.
Warmly appreciated.🙂

Over all the years JF niliamua kuwa invisible, siujui member hata mmoja personally ila huu muwasho unaweza nipelekea nikajifunua aisee. Ila moyo piga kazi yako ya msingi buana.

Hahahaaa, kazi njema mpendwa wangu.
Cc Shunie
 
Back
Top Bottom