stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Kwakweli wanawake wenzangu wanajitahidi! Ila bado kuna mazingira fulani naona kuna mfumo dume ambao hautilii mkazo sana Mawazo yatolewayo na kinamama!Ukiwa kama mwanamke wa kitanzania unaonaje nafasi ya wanawake wenzio katika utoaji wa maoni katika ngazi mbalimbali za Maaamuzi
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
umesema hawajaamka, vipi umefanya jitihada gani kuwaamsha waone fursa za ujasiriamali ili kupambana na mikikimikiki ya maisha??Mazingira niliyopo mimi wanawake bado hawajaamka sana! Asilimia kubwa ya wajasiliamali wanawake ukimuuliza unakuta ni mtu tokea mkoa! Wazawa ni watu wa nyumbani tu
Kwahiyo ndio maana nimesema hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira yepi hayo?? unafikiri kila kitu kinawezekana au asili ndio inafanya iwe hivyo??Kwakweli wanawake wenzangu wanajitahidi! Ila bado kuna mazingira fulani naona kuna mfumo dume ambao hautilii mkazo sana Mawazo yatolewayo na kinamama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako unaiPractice??
Anhaa pole sana...RIP Daddy[emoji120] [emoji120] [emoji17] [emoji17]Kwakweli sijawahi kujuta! Ila sitasahau siku napewa taarifa ya msiba wa baba yangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwakweli walio karibu yangu ninaongea nao na wanajifunza!umesema hawajaamka, vipi umefanya jitihada gani kuwaamsha waone fursa za ujasiriamali ili kupambana na mikikimikiki ya maisha??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Yah naifanya!Kwako unaiPractice??
Sent from my iDevice using Tapatalk
R-returnAnhaa pole sana...RIP Daddy[emoji120] [emoji120] [emoji17] [emoji17]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hapo nimekuelewa, wewe kama wewe unatumia mbinu zipi kujiepusha na majanga ya namna hiyo ya kuvunja sheria za mitandao??Elimu bado haitolewi vya kutosha! Ila kidogokidogo tutafika! Waelimishaji waendelee kuelimisha jamii itafika mahali tutaelewa na kuiheshimu mitandao ya kijamii!
Pia sheria za mitandao ziko vizuri na wahusika wanajitahidi kuthibiti maovu japo sio sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa jitihada ufanyazo ni nzuri sana[emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahaha kwakweli walio karibu yangu ninaongea nao na wanajifunza!
Sema ukipata nafasi uwe unatembelea hizi nyanda za Pwani utajionea elimu kubwa inatakiwa kuwasaidia kina mama kuondoka kwenye utegemezi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli mimi kinachonisaidia ni uoga wangu! Naepuka kutuma taarifa ambazo sina uhakika nazo matusi na kejeli!Hapo nimekuelewa, wewe kama wewe unatumia mbinu zipi kujiepusha na majanga ya namna hiyo ya kuvunja sheria za mitandao??
Sent from my iDevice using Tapatalk
na mumeo ameridhia 50/50?
Pole mno...Zidi kumuombea kwa Mungu
Well in goodKwakweli mimi kinachonisaidia ni uoga wangu! Naepuka kutuma taarifa ambazo sina uhakika nazo matusi na kejeli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kiongozi
Mazingira yepi hayo?? unafikiri kila kitu kinawezekana au asili ndio inafanya iwe hivyo??
Sent from my iDevice using Tapatalk
na mumeo ameridhia 50/50?
Sent from my iDevice using Tapatalk
Malizia hayo hapo juu[emoji115] [emoji115] [emoji115]Kwakweli mimi kinachonisaidia ni uoga wangu! Naepuka kutuma taarifa ambazo sina uhakika nazo matusi na kejeli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira yanayofanya kila kitu kiwezekane kwanza ni kuthubutu! Onyesha jitihada hata Mungu atasaidia!Malizia hayo hapo juu[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Wanaume nyie wa kiafrika haswa huwa hampendi kusikia50/50 !na mumeo ameridhia 50/50?
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sorry hujanijibu vile nnavyotaka