Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Ukiwa kama mwanamke wa kitanzania unaonaje nafasi ya wanawake wenzio katika utoaji wa maoni katika ngazi mbalimbali za Maaamuzi

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kwakweli wanawake wenzangu wanajitahidi! Ila bado kuna mazingira fulani naona kuna mfumo dume ambao hautilii mkazo sana Mawazo yatolewayo na kinamama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira niliyopo mimi wanawake bado hawajaamka sana! Asilimia kubwa ya wajasiliamali wanawake ukimuuliza unakuta ni mtu tokea mkoa! Wazawa ni watu wa nyumbani tu
Kwahiyo ndio maana nimesema hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
umesema hawajaamka, vipi umefanya jitihada gani kuwaamsha waone fursa za ujasiriamali ili kupambana na mikikimikiki ya maisha??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
umesema hawajaamka, vipi umefanya jitihada gani kuwaamsha waone fursa za ujasiriamali ili kupambana na mikikimikiki ya maisha??

Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahaha kwakweli walio karibu yangu ninaongea nao na wanajifunza!
Sema ukipata nafasi uwe unatembelea hizi nyanda za Pwani utajionea elimu kubwa inatakiwa kuwasaidia kina mama kuondoka kwenye utegemezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu bado haitolewi vya kutosha! Ila kidogokidogo tutafika! Waelimishaji waendelee kuelimisha jamii itafika mahali tutaelewa na kuiheshimu mitandao ya kijamii!
Pia sheria za mitandao ziko vizuri na wahusika wanajitahidi kuthibiti maovu japo sio sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa, wewe kama wewe unatumia mbinu zipi kujiepusha na majanga ya namna hiyo ya kuvunja sheria za mitandao??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hahaha kwakweli walio karibu yangu ninaongea nao na wanajifunza!
Sema ukipata nafasi uwe unatembelea hizi nyanda za Pwani utajionea elimu kubwa inatakiwa kuwasaidia kina mama kuondoka kwenye utegemezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa jitihada ufanyazo ni nzuri sana[emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Kwakweli mimi kinachonisaidia ni uoga wangu! Naepuka kutuma taarifa ambazo sina uhakika nazo matusi na kejeli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Well in good
f0a69716075c8416d028729221a925db.jpg

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Mazingira yepi hayo?? unafikiri kila kitu kinawezekana au asili ndio inafanya iwe hivyo??

Sent from my iDevice using Tapatalk
na mumeo ameridhia 50/50?

Sent from my iDevice using Tapatalk
Kwakweli mimi kinachonisaidia ni uoga wangu! Naepuka kutuma taarifa ambazo sina uhakika nazo matusi na kejeli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia hayo hapo juu[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Malizia hayo hapo juu[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent from my iDevice using Tapatalk
Mazingira yanayofanya kila kitu kiwezekane kwanza ni kuthubutu! Onyesha jitihada hata Mungu atasaidia!
Note: don't fail to try but try to fail! Coz we learn from mistakes
Kuna msemo unasema do your best God will do.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom