Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]Unapenda like wewe hivi kwa nini haujajiunga kwenye uzi wa kulike huko [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]Unapenda like wewe hivi kwa nini haujajiunga kwenye uzi wa kulike huko [emoji41]
Kitu cha utotoni namiss kombolela![emoji3]Hujaniambia hicho kinachokutofautisha!!
Anyway unamiss nn cha utotoni
DJ sepetu
Unapenda like kama nini, haya nikulike basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu na yule jamaa yetu wangekaa sehemu moja hapana chezea uzi wa kupeana likes haujawahi muacha mtu salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
Moneytalk alikuwa anamtania tuu ujue.... Tuyaache kwanza ataishiwa maswaliWamerudiana dada buana huko wapiii
Woyoooooooooo [emoji40] [emoji40]
Woyooo
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu na yule jamaan yetu wangekaa sehemu moja hapana chezea uzi wa kupeana likes haujawahi muacha mtu salama
[emoji15] [emoji15] mbona jana kaaga anakwenda wozap kupigiana nae video call ila moneytalk kwa nini anamfanyia hivi mtoto wa mwanamke mwenzie anaweza kumuua ujueMoneytalk alikuwa anamtania tuu ujue.... Tuyaache kwanza ataishiwa maswali
Kweli dada ujue we jifanye kujitoa tu ukweli ndio huoHahaha
Sitaki uchochezi mieee mdogo wangu
Tulia bhanaa[emoji15] [emoji15] mbona jana kaaga anakwenda wozap kupigiana nae video call ila moneytalk kwa nini anamfanyia hivi mtoto wa mwanamke mwenzie anaweza kumuua ujue
Nina miaka ishirini na kenda! Nipo huku Pwani ya Bagamoyo nakula upepo wa bahari!Kibaba,namsaka mke wangu,tiyari ama bado!!
Una miaka mingapi sasa!
Na unaishi pande zipi tz
DJ sepetu
Haya [emoji40] [emoji40] [emoji40]Tulia bhanaa
AsanteeeeeeeNina miaka ishirini na kenda! Nipo huku Pwani ya Bagamoyo nakula upepo wa bahari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo!!Nina miaka ishirini na kenda! Nipo huku Pwani ya Bagamoyo nakula upepo wa bahari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yangu ni kidato cha sita! Ndio nafanya mchakato nisogee juu kidogoBagamoyo!!
Stable woman elimu yako tafadhali
DJ sepetu
Kwann ulichelewa kwenda chuo!Elimu yangu ni kidato cha sita! Ndio nafanya mchakato nisogee juu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app