Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Mbona kuna watu wanleta mazungumzo ambayo yanaharibu hii interview? Mngetulia kidogo ili tupate mtiririko mzuri
 
Kazi halali! Usini quote vibaya! Nikipata chance ya u Mc nafanya upambaji napamba na biashara zangu za halali! Inshort ujasiliamali mwingi nipo, mbali na kuwa nimeajiriwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa!
Maisha ya shuleni unayakumbuka kwa kipi nafas ya juu uliyowah shika ktk mtihani ni IP!
Six umesoma comb gani

DJ sepetu
 
Poa!
Maisha ya shuleni unayakumbuka kwa kipi nafas ya juu uliyowah shika ktk mtihani ni IP!
Six umesoma comb gani

DJ sepetu
Maisha ya shuleni nayakumbuka sana unajua sikukomaa saaana enzi nasoma utoto ulikuwa mwingi! Though nilisoma kayumba na nilikuwa nawaongoza! Shule yetu haikua na wanafunzi wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…