Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Cuzoo ukhuty ana moto wa kifuu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linamo na sakayo mkuje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuzoo ukhuty ana moto wa kifuu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linamo na sakayo mkuje
Tunakupenda pia [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
AiseeeeDaah nimechelewa mpenzi ila haina neno ngoja nijikongoje taratibu
Una bahati basi, au unachagua mafogoMbona mimi siombwagi nauli?
We Ulienda kabisaa.... Ule uzi Ulikuwa waukimbiza balaaaMimi nilitoa taarifa jukwaani nikimwomba tuonge chemba akaniambia sina pesa
sawa maswali yanaendelea au?
Salama ndg.
Hakika kumekucha.
Ohoooooo..Usijali mamy... Nafikiri Unajua kuna mrembo anajiita Husna the boss lady... Wanaume weengi walimdondokea kweeeli, wengine wakagongana pm hukooo, kumbe ni dume bwana.... Linaitwa Otieno kwa id ingine, fundi wa vitanda!!!!!! Upoo
Neibaa unaongea kwa hisia.Kuna wapo wanajua wakifanyacho,
Japo Husna alisema mapema role mod... Wake ni Wema, sababu wema anapenda ku fake.
Hivyo alitoa majibu mapema kuwa yeye naye ni jike fake.
Sijui kwanini watu walishangaa alipoumbuliwa kuwa ni Eric Otieno???
Jamaaaniii
Hadi walionana.We Ulienda kabisaa.... Ule uzi Ulikuwa waukimbiza balaaa
Atanuna huyo nikimtajaa haha hahaha.Jamaaaniii
Umeanza lini kunificha shogaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Neibaa unaongea kwa hisia.
Ha ha ha jirani napita zangu hapa nje kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu sema na wewe mdogo wangu, halafu akija hapa anazuga
Hatasikia bwanaa.....Atanuna huyo nikimtajaa haha hahaha.
Utamwona sasa hivi anakujaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Muosha runguu kwa lugha ya kwenyu kaharibu dada zangu niwapendao sana..yani mnafull vijinenoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawaona mjue[emoji121] [emoji116] [emoji13]Atanuna huyo nikimtajaa haha hahaha.
Utamwona sasa hivi anakujaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaaaniii
Umeanza lini kunificha shogaaa