Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Namfaham cuzoooCuzoo ukhuty ana moto wa kifuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namfaham cuzoooCuzoo ukhuty ana moto wa kifuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe cheka tuu maisha yenyewe mafupi dear.... Pole kwa mgombanoHahahaaaaa unajua ninachekaaa, halafu nimegombana na MTU sasa nacheka kwa sauti anajua namcheka yy
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jirani kuna jambo nilimkatakia so amekua akinilipa kisasi kidogokidogoNi mdogo wangu lazima nimwamini ujue, akusingizie ili iweje kaka
Jamaan moneytalk mbona anasema yaliisha usije ukatuulia mtoto wa mwanamke mwenzetuMmh nyie mnanichokonoa mjue, itabidi niwaite chemba mniambie mnanitakia nini mtoto wa watu jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Si atakuja kukuwowa tu jomonii
Wala Usijali Kagame, nenda hukooo chemba tuu Ney hana shida ni mwelewaChemba siji, sakayo atanisema halafu nimeweka wazi kuna mtu nimemwona humu. Nikirusha jiwe ataniambia baki chemba na neiba yako, sijiiii
Wapii hukooo tenaaDada akee yule chizi si aliniquote ujinga wake kwa I'd yake ya kike ameshapumzika bandani akuje sasa na ile ya kiume
AkuuNtakwambia nikirudi kazini
Lakini upike chakula nikipendacho, nikifurahi ntakwambia dadake
Mambo dearWazima jamaaan
Leo lazima nikufinyeee, nitatoka job mapema ili tu nikukomoe ujuee.E =Erick otieno
Hahahahahaaaaa jirani ana hasira hata baada ya jinsia ya husna kubadilika bado hajakata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo nawachungulia tuu ujue [emoji3][emoji3][emoji3]Ney ukuje hukuu
Mmu huko post zake zimefutwaWapii hukooo tenaa
HaiwezekaniHuyu jirani kuna jambo nilimkatakia so amekua akinilipa kisasi kidogokidogo
Unajua nimehamia wapi jirani?Leo lazima nikufinyeee, nitatoka job mapema ili tu nikukomoe ujuee.
Huna adabu jiranaiii[emoji13]
Hebu msikilize Huyoo mhanga wa husnaNipo nawachungulia tuu ujue [emoji3][emoji3][emoji3]
WoooiiiMmu huko post zake zimefutwa
Anaitwa Nasra anasoma chuo[emoji23]Hivi husna hana mdogo wake wa kike jamanii
Haijalishi
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Woooiii
Pole mnoo....