Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa tunaelewa mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf unakumbuka ulisema money talk kamdanganya ameshaachwa
Alipewa sharti moja kwamba kama kweli anampenda Eric alipe ada ya watoto 3 kwenye shule ya Husna ndyo akubaliwea.Na kweeeli... Pole yake tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viben 10 woiiii msimu wao mbaya sana huuWakubwa tunaelewa mdogo wangu
Stable woman yuko peace saaanaNi kweli mpz, sikutaka kuruka page ili nione mtapewa vichambo au mafundisho,
Nilifurahi kukutana na mafundisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alienda na nauli alituma, sasa kapata msongo
Si uyo jamaa angu kuhusu mke wake EricMnawekanaje uchi tena jaman
Hamna uchi bhanaa, si za kawaida tuu hata mkiwekana auAlfu ujue mnatuchora tu tusije kuwekana uchi hapa
Niko poa but nakumiss badly.
HahahaMnawekanaje uchi tena jaman
Mkuu itakuwaje hadi ulete uchi wako hapa[emoji13] [emoji13]Alfu ujue mnatuchora tu tusije kuwekana uchi hapa
Kwangu sio tatzo mtendwa ndyo tatzo sjui ata respond vp?Hamna uchi bhanaa, si za kawaida tuu hata mkiwekana au
Me too kiglii...enjoy thenNiko poa but nakumiss badly.
Nimezungukwa na dada zangu hapa yaani full shida.
HahahaAlipewa sharti moja kwamba kama kweli anampenda Eric alipe ada ya watoto 3 kwenye shule ya Husna ndyo akubaliwea.
Jamaa naskia alitoa kweli na alimbiwa ada ni million 3 kwa mwaka[emoji23] [emoji23]
Wako sio wanguMkuu itakuwaje hadi ulete uchi wako hapa[emoji13] [emoji13]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viben 10 woiiii msimu wao mbaya sana huu
Hebu msaidie kidogoo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani itabidi a appeal
Watoto wasiojulikana yatima waliokuwa wanasoma shuleni pale kwa headmistress HusnaHahaha
Sasa watoto ni wa nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 25 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha
Wabaki salama tuu