Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kabisa umakini ndio kila kitu kujikwaa sio kuanguka dadaKabisaa mdogo wangu, awe makini tuu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa umakini ndio kila kitu kujikwaa sio kuanguka dadaKabisaa mdogo wangu, awe makini tuu sasa
Hapana hapo tumechanganya story mbili tu muosha naniliuShunie Ben 10 mm!
DJ sepetu
Hahaaa Muosha rungu plz make it happen! Huyu mrembo awe kikaangoni next time!Wooow..... Thanks honey!!!!
Sijawahi mamy, siku nikuhojiwa nitahakikisha upo siti ya mbele ingawa naamini haitokaa itokee hiyo jamanii
Asimame aendelee na safariKabisa umakini ndio kila kitu kujikwaa sio kuanguka dada
Umeichoka amani eeehh!!!! Mie hizo mambo hapana aisee, kwanza nitawadanganyaHahaaa Muosha rungu plz make it happen! Huyu mrembo awe kikaangoni next time!
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahaUmeichoka amani eeehh!!!! Mie hizo mambo hapana aisee, kwanza nitawadanganya
Kama ningekua sijaolewa ningefunga na kuomba nimpate Tized ananifurahisha sana[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuhoji mimi.Wooow..... Thanks honey!!!!
Sijawahi mamy, siku nikuhojiwa nitahakikisha upo siti ya mbele ingawa naamini haitokaa itokee hiyo jamanii
[emoji15] [emoji15] bora hata umekuja atajisikia faraja sanaJapo Mh. raisi hajasema wale jamaa wanawashwa wapi, najisikia ''nawashwawashwa'' moyoni utadhani na mimi ''nimeshastaafu''. Navumilia tu japo huu sio muwasho wa nchi hii
Asante sana stable woman, Nakufurahia sana kunifurahia.
Warmly appreciated.🙂
Over all the years JF niliamua kuwa invisible, siujui member hata mmoja personally ila huu muwasho unaweza nipelekea nikajifunua aisee. Ila moyo piga kazi yako ya msingi buana.
Hahahaaa, kazi njema mpendwa wangu.
Nakuona ujue cuzoo[emoji15] [emoji15] bora hata umekuja atajisikia faraja sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita pita kijiweni kunywa kahawa kidogoNakuona ujue cuzoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita pita kijiweni kunywa kahawa kidogo
Hahaha Linamo wewe[emoji15] [emoji15] bora hata umekuja atajisikia faraja sana
Nini mamy[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahaaaa! Karibu sana Tized umejikuta umetajwa humu bila taarifa!Japo Mh. raisi hajasema wale jamaa wanawashwa wapi, najisikia ''nawashwawashwa'' moyoni utadhani na mimi ''nimeshastaafu''. Navumilia tu japo huu sio muwasho wa nchi hii
Asante sana stable woman, Nakufurahia sana kunifurahia.
Warmly appreciated.🙂
Over all the years JF niliamua kuwa invisible, siujui member hata mmoja personally ila huu muwasho unaweza nipelekea nikajifunua aisee. Ila moyo piga kazi yako ya msingi buana.
Hahahaaa, kazi njema mpendwa wangu.
Umekuja fasta kumwangalia Mh.Tized[emoji3]Nini mamy[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimekuja kumuona mzee wa busara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] mi simo!Nimekuja kumuona mzee wa busara[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo bhana