Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Ukiconnect na ile statement yako ya kutonijua ndio utapata what i mean hapa.

Usikute nilichoongea apo ndio 'kuwashwawashwa' kwenyewe? Hahahahahahaa

But aliye kwa profile kama namjua vile🙁
Umemfananisha tu mkuu
 
Ukiwa kama mwanamke wa kitanzania unaonaje nafasi ya wanawake wenzio katika utoaji wa maoni katika ngazi mbalimbali za Maaamuzi

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Unapendelea simu za mfumo endeshi upi kati ya hizi ios, android, blackberry, windows phone ?? itaje

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Maswali yangu yameisha...swali kama ni too personal niambie na kama umeshalijibu nidirect ni post namba ngapi niangalie..Asante

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Kwa maoni yako, watanzania wanahitaji zaidi elimu juu ya mitandao ya kijamii??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ndio waTanzania wanahitaji elimu ya mtandao!
Walio wengi bado hawajui kama mitandao ina faida kubwa! Hasa kubwa ni kupata news mapema! Kuuweka ulimwengu karibu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom