LIVE: Kinachoendelea msibani kwa Eliza, UK

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari walishamchagua mrithi wa malkia... kuna mtoto wa Malkia anaitwa Charles ndo kachaguliwa.... wenyewe huku kwao naona wengi wanamwita CHALII.

Majirani siwaoni kabisa msibani. Ila jirani mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mzee Smith ndo kasema kwamba majirani wameususia msiba kwasababu Eliza alikuwa hahudhurii misiba ya wenzake. Pia Mzee Smith anadai yeye ndo alimuuzia kiwanja Marehemu Eliza akajenga nyumba inayoonekana pichani. Ila kitu kilichonishangaza zaidi eti Eliza hakuwa na kadi ya bima afya ndo maana matibabu yake yalisuasua... inasikitisha.

Nitazidi kuwajuza zaidi maana watu tuko hapa toka jana usiku.... watu kwa sasa wapo wapo tu. Ukitazama picha utaona vyakula vinaendelea kupikwa... mimi niko na wazee wengine wa hapa, Mzee Fergusson, Al Fayed, na wengine tunacheza karata... he! ngoja kwanza 😰😡!!!... kuna watu kama watatu karibu yetu toka wamekuja hawaongei ila ghafla wameanza kubishana kwa kikwao nimeambulia maneno machache.. wanataja sana Nchemba & tozo. Nimeambiwa ni kabila moja na Eliza. Msibani mambo ni mengi sana.

FB_IMG_1662665321642.jpg
 
Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari walishamchagua mrithi wa malkia... kuna mtoto wa Malkia anaitwa Charles ndo kachaguliwa.... wenyewe huku kwao naona wengi wanamwita CHALII.

Majirani siwaoni kabisa msibani. Ila jirani mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mzee Smith ndo kasema kwamba majirani wameususia msiba kwasababu Eliza alikuwa hahudhurii misiba ya wenzake. Pia Mzee Smith anadai yeye ndo alimuuzia kiwanja Marehemu Eliza akajenga nyumba inayoonekana pichani. Ila kitu kilichonishangaza zaidi eti Eliza hakuwa na kadi ya bima afya ndo maana matibabu yake yalisuasua... inasikitisha.

Nitazidi kuwajuza zaidi maana watu tuko hapa toka jana usiku.... watu kwa sasa wapo wapo tu. Ukitazama picha utaona vyakula vinaendelea kupikwa... mimi niko na wazee wengine wa hapa, Mzee Fergusson, Al Fayed, na wengine tunacheza karata...

View attachment 2351454
Nakuja
 
[emoji15][emoji15][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1662543434900.jpg
 
Ha haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa......msiba wa Eliza umetisha.
 
Nimeona msafara wa mfalme charles kutoka airport Hadi palace. Ni pikipiki moja na magari mawili. Halafu watumiaji wengine wa barabara wanaendelea na shughuli zao.
Sasa njoo Kenya au Burundi uone huo msafara wa mkuu wa nchi. Utafikiri Kuna Vita.
 
aliuziwa kiwanja pale serikali ya mtaa wa belrin confyerence.
kama vipi azikwe ktk kiwanja alichouziwa.
 
Nimeona msafara wa mfalme charles kutoka airport Hadi palace. Ni pikipiki moja na magari mawili. Halafu watumiaji wengine wa barabara wanaendelea na shughuli zao.
Sasa njoo Kenya au Burundi uone huo msafara wa mkuu wa nchi. Utafikiri Kuna Vita.
Ukiona wanajilinda sana ujuwe wanawaibia..yani kifupi mnaongozwa na majizi.

#MaendeleoHayanaChama
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Tishaaaaaaaaa

Mbavu zanguuu.

Saluting kwako😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari walishamchagua mrithi wa malkia... kuna mtoto wa Malkia anaitwa Charles ndo kachaguliwa.... wenyewe huku kwao naona wengi wanamwita CHALII.

Majirani siwaoni kabisa msibani. Ila jirani mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mzee Smith ndo kasema kwamba majirani wameususia msiba kwasababu Eliza alikuwa hahudhurii misiba ya wenzake. Pia Mzee Smith anadai yeye ndo alimuuzia kiwanja Marehemu Eliza akajenga nyumba inayoonekana pichani. Ila kitu kilichonishangaza zaidi eti Eliza hakuwa na kadi ya bima afya ndo maana matibabu yake yalisuasua... inasikitisha.

Nitazidi kuwajuza zaidi maana watu tuko hapa toka jana usiku.... watu kwa sasa wapo wapo tu. Ukitazama picha utaona vyakula vinaendelea kupikwa... mimi niko na wazee wengine wa hapa, Mzee Fergusson, Al Fayed, na wengine tunacheza karata... he! ngoja kwanza [emoji27][emoji35]!!!... kuna watu kama watatu karibu yetu toka wamekuja hawaongei ila ghafla wameanza kubishana kwa kikwao nimeambulia maneno machache.. wanataja sana Nchemba & tozo. Nimeambiwa ni kabila moja na Eliza. Msibani mambo ni mengi sana.

View attachment 2351454
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wabongo mtakuja kuniua kwa kucheka....
 
We jamaaa chizi sana, mawazo yangu yoote nilipeleka kwenye picha kuliko hata msiba wenyewe
 
Back
Top Bottom