Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
- Thread starter
-
- #21
Supersport 9Channel gani wanaonyesha
SS4Channel gani wanaonyesha
Bado. Mambo yanaendeleaNani mchezaji bora ?
Diamond amepewa nafasi ya kuimba wimbo wa nne sasa. Tatizo ni kuacha CD kuimba kwa muda mrefu
samataa jeLeo,katika jiji la Abuja nchini Nigeria atatangazwa mchezaji bora wa soka wa Afrika. Atatangazwa mchezaji bora kwa wachezaji wa nje ya Afrika na yule anayechezea ligi za ndani za Afrika
Katika wachezaji wa nje ya Afrika,wamo akina Mane,Mahrez na Aubemayang Kwa wachezaji wa nje,kati yao yuko Mganda Dennis Onyango wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini
Muda huu,Rais wa CAF Issa Hayatou anahutubia.
Rais wa CAF amemaliza hotuba yake. Kuna burudani inaendelea toka kwa Rising Stars
Mwaka huu hayumosamataa je
Wangemtoaa Nigeria tuRefarii bora wa mwaka Afrika mwaka 2016 ni Bakar Papa Gasama wa Gambia
supersport 4Channel gani wanaonyesha