Live: Kutangazwa kwa mchezaji bora wa soka Afrika

Live: Kutangazwa kwa mchezaji bora wa soka Afrika

Diamond tena. Tatizo anategemea back sound sana. Hafanyi vyema kabisa. Jukwaa bado kwake
 
Diamond amepewa nafasi ya kuimba wimbo wa nne sasa. Tatizo ni kuacha CD kuimba kwa muda mrefu
 
Mchezaji bora wa soka wa kike Afrika kwa mwaka 2016 ni Asizat Oshoala wa Nigeria
 
Diamond kafanya vyema sana nadhani na amewakilisha vyema ila swala la pumzi ni shida kiasi kwake.Ameimba nyimbo nne
 
Refarii bora wa mwaka Afrika mwaka 2016 ni Bakar Papa Gasama wa Gambia
 
Nguli Femi Kuti anatumbuiza sasa. Anatoa somo tosha kwa wasanii kama Diamond
 
Leo,katika jiji la Abuja nchini Nigeria atatangazwa mchezaji bora wa soka wa Afrika. Atatangazwa mchezaji bora kwa wachezaji wa nje ya Afrika na yule anayechezea ligi za ndani za Afrika

Katika wachezaji wa nje ya Afrika,wamo akina Mane,Mahrez na Aubemayang Kwa wachezaji wa nje,kati yao yuko Mganda Dennis Onyango wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini

Muda huu,Rais wa CAF Issa Hayatou anahutubia.

Rais wa CAF amemaliza hotuba yake. Kuna burudani inaendelea toka kwa Rising Stars
samataa je
 
Tatizo kubwa la Diamond ni kageuka kuwa dancer badala ya singer.... nini kazi ya kina IYOBO?
 
Mchezaji bora wa Afrika kwa wanaocheza ndani ya Afrika wa mwaka 2016 ni Denis Onyango wa Mamelodi Sundowns na Uganda. Wa pili ni Khama Billiat wa Mamelodi na Zimbabwe. Wa tatu ni Rainfod Kalaba wa TP Mazembe na Zambia
 
Kiongozi bora wa soka wa mwaka 2016 ni Manuel Necimento wa Guinea Bissau
 
Back
Top Bottom