Live kutoka kuzimu!

Uyu hapa ,karibu pande hizi ujifunze,

Kisha uchague pa kwenda utapobadili form.

Mbinguni au Kuzimu Kisha JEHANUM!!
 
Huyu ni mgonjwa wa akili?
Kwamba wanaotoa mateso huko ni MAPEPO
Sasa je, mapepo hayo yametumwa na nani? Mungu?
Maana adhabu ya huko ni ya Mungu ina maana Mungu ana uswahiba na mapepo.
Imani zingine za kipumbavu.
 
Huyu ni mgonjwa wa akili?
Kwamba wanaotoa mateso huko ni MAPEPO
Sasa je, mapepo hayo yametumwa na nani? Mungu?
Maana adhabu ya huko ni ya Mungu ina maana Mungu ana uswahiba na mapepo.
Imani zingine za kipumbavu.


Kuzimu ni gereza.

Nyampala wa kuzimu, aliyepewa kukaa huko Kwa muda ni shetani na mapepo wakisubiri HUKUMU.

Mwanadamu hakuumbiwa kwenda huko, ni uamuzi wake, mtu ,Makao yake ni Mbinguni alilokuwako kabla.

Ulimfuata shetani Kwa kumkataa Mungu, unakuwa chini ya shetani,

Ukifa, anakupokea na kukugeuka na kuanza kukutindua kupitia askari wake mapepo.

Huku duniani anakuonyesha kama pombe, UZINZI na wizi nk nk ni ujanja, ila ukifa, anakutesa na kukudhihaki kwanini hukumsikia Mungu.

Maneno uyasomayo, yatakushuhudia mbeleni,

Ni maombi yangu siku zako duniani zikiisha, uwe umeokoka kabla ya kufa.

Ubarikiwe 🙏
 
Yesu si mnasema alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu? Sasa kwanini mimi nikachomwe?
Huruma ya Mungu iko wapi?
Kuokoka is a myth na ulokole ni kama ugonjwa wa akili.
 
Niliposoma heading nkashangaa eti live kutoka kuzimu😅
Kuzimu ni HALISI, ndio maana ya Live,

Hata sasa tunavyoongea, Kuna watu wanaaga Dunia, wanakamatwa na kupelekwa huko kwenye shimo kuu lisiloshiba Wala kujaa.

Ubarikiwe 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…