Live kutoka kuzimu!

Usihukumu usije ukahukumiwa.
Nani amehukumiwa?

Kumpa uhalisia mpiga PUNYETO destiny yake itappoishia Kwa Mfano Si Kuhukumu huko.

Uamuzi unabakia kwake abadilike Ili aende njia sahihi au akaze shingo aende kunako KUZIMU ya Moto akakutane na dhahma ya moto usozimika na mateso ya mapepo, baadae anaendelea milele Jehanum ambako moto wake hauzimiki wala FUNZA wake hawafi!! ( Mark 9:30-50).
 
Wewe umeacha dhambi? Tangu ulipookoka hujawahi kutenda dhambi tena?
 
Nnachojua mtu akifa mwili unakufa inabaki roho.mwili tunauzika unaoza na kupotea kabisa labda inabaki mifupasasa hiyo roho baada ya kumaliza kutanga mmesema mnaichukua inaenda kutumikia adhabu yak huko kuzimu.
Je roho ina ngozi?
Michoro ya henna na tattoo?
Unasema sijui mapepo yanashika visu na kumchanachan ngozi
Huyo dada anaesangwa kwenye blenda na kurudi normal vipi?

Mtoto asiejua lolote kuhusu dunia anawekewa katuni kama burudani ana kosa gani nae?
Bandiko lako lina walakini
Tutaendelea.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeacha dhambi? Tangu ulipookoka hujawahi kutenda dhambi tena?
Swali zuri sana.

Watumishi wa Mungu wanaye Roho mtakatifu, ikitokea ametenda dhambi ,Roho humuonyesha na kuitubia haraka, Pia Roho mtakatifu hutusaidia kutuombea tunapoanguka.

Mungu ameweka watumishi wake Kwa KAZI ya kuhubiri INJILI watu watubu na kuacha DHAMBI, Pia amewapa mamlaka ya kukemea dhambi Ili isizoeleke na kuwa kawaida Kwa Wana wa Mungu.

Na huwezi mwambia mtu aache DHAMBI bila kumweleza dhambi ni nini na ni zipi!!

Tusipokemeana sasa tutakosa ujasiri wa kudumu katika Maisha Matakatifu.

Amen.
 
Wewe msimuliaji ni wa dhehebu gani?
Nimeshasoma shuhuda kama hizi kutoka kwa watu wa madhehebu mbali mbali na kila mtoa ushuhuda anaegemea kwenye kile wanachokiamini na kupondea kile wasichokiamini.
Akija mlokole atasema wale waliobatizwa na maji kiduchu hawaendi peponi.
Atakuja msabato atasema wanaovaa misalaba na kumuomba Maria wana abudu sanamu.
Maadam haya mambo Mungu ameyaficha kwenye macho yetu, tuachane nayo.
Tustick kwenye maandiko yaliyopo kwenye Biblia hasa kitabu cha Ufunuo wa Yohana kwa habari za kuzimu.
Pia kwenye habari ya tajiri na Lazaro.
Hizi story nyingine 'hatuna uwezo wa kuzi verify kwa sasa' kwa kuwa zinakinzana pakubwa kati ya shuhuda mmoja na mwingine.
 
Hujajibu swali langu. Sijauliza kuhusu watumishi wa mungu. Nimekuuliza wewe. Je, toka uokoke hujawahi tenda dhambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anataka wazazi wawafundishe watoto wao Neno la Mungu Si kuwawekea cartoons.

Cartoons Zina uvuvio wa kipepo, Kwa Mfano unamwekea mwanao mdogo cartoon inaitwa Little demon pale Disney channel unategemea nini kuhusu future ya mwanao?

Kuhusu Roho za WAFU kuwa na maumbo kama ya WANADAMU ndivyo ilivyo,

Yesu Kristo wa Nazareth akikutokea Leo hii, utamwona akiwa na matundu ya Misumari katika mikono yake hata Leo.

Hivyo mtu afapo na mwili kuzikwa, mwonekano wake utakuwa vile vile kama alivyozikwa,

Wanawake mliotoboa maskio pua Kuna habari kuwahusu,

Maana kama am avyo Mungu alikuumba na kutoboa matundu ya pia Kwa KAZI ya kuvuta hewa safi, asingeshindwa kumuumba mtoto akiwa ametobolewa masikio kama angependa wavae hereni.

Masikio ya watoto wa kike tangu Kuzaliwa yamezibwa maana yake hereni haziruhusiwi.


Msupotubu na kuacha kuvaa hereni, mtakutana na mapepo wale wasio na chembe ya huruma.
 
Akili za walokole ni shida aana🤣🤣🤣 Naijua sana biblia lakn nashindwa hata nianzie wapi kukujibu kwa biblia juu ya huu uwongo ulioandika. Anyway acha niendelee kusoma comments
Lengo la mada ni kukuletea mambo Live yanayoendelea kuzimu,

Mada haisemi tubishane kidini ndomana wengi wanaishia kuchungulia na kukimbia.

Endelea kusubiri muendelezo wa Matukio Live jinsi yatakavyokujia.
 
Hatari sana na wengi watabisha
Wengi wanasema Mungu ni WA Rehema atawasamehe, wanajidanganya,

Yesu Kristo wa Nazareth asema hivi, ikiwa Yeye aliacha Enzi Mbinguni na kuja kupitia mateso Kwa ajili yetu,Ili atuokoe na alivumilia mateso msalabani Hadi mwisho,

Sasa iweje mwana wa Mungu ushindwe kuacha UZINZI tu Kwa Mfano, ushindweje kuacha wizi wa Mali za umma na Bado ukajiita mkristo,

Yesu ni mkali sana juu ya dhambi, Mtume Paulo alikutana na hasira yake alipokuwa akienda kuua wakristo na alipofuka hapo hapo.

Yesu anataka tuikane miili yetu ,tusifuate tamaa za miili yetu na Mali za Dunia, tuishi sawa sawa na maelekezo yake.

Asema, Iweni WATAKATIFU kama baba yenu alivyo mtakatifu maana hakuna atakayemwona baba asipokuwa mtakatifu.

Amen
 
wape thalamu misukule
 
Unasema kwamba mapepo na mashetani yatawatesa?
Hivi hapa umefikiri nini?
Kwamba mwenye zambi amtese mzambi mwenzie?

Hizi ni nadharia zisizo na mashiko, hizi ni hekaya za watu wajinga na wenye fikra duni.

Nalog off
Shupaza shingo, siku inakuja upesi.
 
Nimeshakujibu. Na sipo hapa kubishana.
Sibishani. Nimeuliza swali kwako ila hujajibu. Waliookoka hawatendi dhambi. Waliozaliwa na roho wa mungu hawatendi dhambi. Kama unatenda dhambi hujazaliwa na roho wa mungu. Mimi sijaokoka by the way ila nimesoma biblia. Biblia yenyewe inasema waliozaliwa na roho wa mungu hawatendi dhambi. Refer 1 John 3 9
 
Dah mtoa mada umenifikirisha sana, Mungu nisamehe mimi naacha ujinga na dhambi zote naokokaaaaaaaaa
Mungu akusaidie na akupe Roho wake mtakatifu atakayekusaidia kuacha DHAMBI na UOVU.

Hatazikumbuka dhambi zako, atalifuta Jina lako Kutoka kitabu Cha MAUTI na ataliandika katika kitabu Cha Uzima.

Ubarikiwe na karibu katika familia ya Wana wa Ufalme wa Mungu watawalao milele na milele.

Ubarikiwe.

Amen
 
Sina majibu zaidi,

Tusubiri, Live Kutoka kuzimu ikiendelea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…