Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

Ila walokole🙌🙌
Ubarikiwe!

Nakuombea neema ya YESU ikuokoe Ili nawe uwe raia wa Mbinguni,

Uanze ujenzi wa nyumba Yako Mbinguni, endelea kuwepo, mengi yanakuja.

Amen
 
Eneo unalotaja, halijaumbwa Bado.

Leo na mada hii itajikita kuhusu habari kuhusu Mbinguni pekee,

Kuna mengi yanakuja hayajaandikwa Bado.

Ubarikiwe. Amen
Hapana Huwezi ongelea mbinguni ukaacha jehnamu,,,twende sawa
 
Nawe ubarikiwe.

Niliyekuwa pale na uzuri niliouona ndiye ninayejua nilikuwa wapi,

Hukusoma imeandikwa Mbinguni hakuna jua, hakuna usiku ni Nuru tu?

Nakuombea nawe ukutane naye Kwa wakati na njia ya kipekee.

Amen
Kwanza hata sitaki nipaone halafu nirudi,Kikubwa nikienda niende for good
 
Hapana Huwezi ongelea mbinguni ukaacha jehnamu,,,twende sawa
Jehanum haijaumbwa Bado, kuzimu ndo IPO.

Nenda kasome thread live Kutoka kuzimu- rabbon.

Kisha rudi tuendelee.

Amen
 
Unaijua asiri yako? Nani aliweka sukari kwenye nanasi? Ni Baba yako Mzee Mang'ombe?
Achana na fikra za kijinga hizo. Leta hoja ya msingi. Mungu hayupo. Ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu. Ni stori za alinacha.
 
Baada ya kuona tu haukumbuki miaka uliokuwa nayo ila unakumbuka hio ndoto sina haja ya kuendlea kusoma ulichoandika [emoji16][emoji16]
 
Nilipo ona neno NJOZI mood ya kusoma ikaisha
Mtoto below 5 years Si Rahisi kutofautisha njonzi, ndoto ,Ulimwengu wa Roho au maono.

Endelea kuwepo.

Lakini ubarikiwe sana, na ninakuombea upate neema ya kuingia Mbinguni baada ya kusoma thread hii.
 
HADITHI ZA mbinguni ni nzuri tatizo ni kwamba kabla hujaenda lazima upitie KIFO (labda kama wewe ni Henoko au Eliya).

Wahubiri wengi wanahubiri maisha baada ya kifo, hawahubiri jinsi gani tuishi kwa furaha hapa duniani.

Kama Mungu angetaka angewaweka mbinguni msiteseke lipo kusudi la kuletwa duniani tulijue na tufurahie maisha.
 
Leta ushaidi na uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Nakwambia hivi [emoji116]

Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…