Live Kutoka Serena Hotel Mjadala wa Katiba Mpya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,984
Wageni waalikwa ni pamoja na:

1. Tundu Lissu Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
2. Mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

Mwendeshaji wa kipindi ni Rosemary Mwakitwange.

Waziri wa katiba na sheria pamoja na naibu wake ''wameingia mitini''
 
Tundu lissu alitakiwa aende Arusha akamalize seke seke kwanza. hapo hatuwezi elewa anachoongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…