Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Wageni waalikwa ni pamoja na:
1. Tundu Lissu Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
2. Mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)
Mwendeshaji wa kipindi ni Rosemary Mwakitwange.
Waziri wa katiba na sheria pamoja na naibu wake ''wameingia mitini''